KERO Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana, daladala zinakwepa kupita huku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest

Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo.

Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito mamlaka zinazohusika husika ziangalie maana huku kuna hospitali kubwa tu sasa kama miundombinu ndio hii mgonjwa anaweza kufika akiwa amepoteza maisha.

Eneo ambalo nimerekodi video hizi nilizoshea hapa ni Kitunda, mvua ikinyesha inakuwa mtafutano zaidi.
 
Hii barabara yakutoka banana unapita kitunda aloooh..

Yaani ni mbovu kuliko hata za huko vijijini..

Hàli si shwari kabisa. Mamlaka hawaoni?? Ishakuwa sehemu ya kupigia kampeni kipindi cha uchaguzi. Ukiisha wanaleta wachina wa mchongo wanapima halafu wanapotea.

Kwamba wao huwa hawajui msimu wa mvua??
 
Watu was kitunda wataendelea kuteseka na Barbara mpaka wakome,kwa kuwa wanachagua viongozi was hovyo,we kila mwaka Barbara mbovu tu
 
Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo.

Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito mamlaka zinazohusika husika ziangalie maana huku kuna hospitali kubwa tu sasa kama miundombinu ndio hii mgonjwa anaweza kufika akiwa amepoteza maisha.

Eneo ambalo nimerekodi video hizi nilizoshea hapa ni Kitunda, mvua ikinyesha inakuwa mtafutano zaidi.
Chomoka Buza huko kilaini tu Tandika hapo au Kipawa unasonga.viongozi ndo hao vyura viziwi wamesema.
 
Back
Top Bottom