Hii ni Barabara ya Banana-Kitunda-Kivule ni mbovu sana kiasi kwamba hata daladala zinakuwa chache, wananchi wengi wanaotegemea usafiri huo wanapata tabu sana, sababu watu wanaogopa kupeleka magari huko barabara ni mbovu vyombo.
Wakipeleka zinakuwa katika mazingira ya kuharibika, tunatoa wito mamlaka zinazohusika husika ziangalie maana huku kuna hospitali kubwa tu sasa kama miundombinu ndio hii mgonjwa anaweza kufika akiwa amepoteza maisha.
Eneo ambalo nimerekodi video hizi nilizoshea hapa ni Kitunda, mvua ikinyesha inakuwa mtafutano zaidi.