Swash Bizo
Senior Member
- Jan 29, 2011
- 141
- 93
Habari wana jamiiforums. Sisi wakazi wa jimbo la ukonga tunashukuru kufunguliwa kwa daraja la TAZARA. Kero kubwa iliyobakia kwa sasa ni foleni ya BABANA. Tunaomba kituo cha daladala kwa mabasi yanayoenda Kitunda na Kivule kwani yanasababisha foleni kubwa sana.
Naomba kuwasilisha.