Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,853
- 14,082
Barabara ya kivule kuna shida hamna kinachofanyika wanasubiri masika ifikeKwani Mkuu Kule Kivule Barabara Bado Mkandarasi Pale Kitunda Anafanya Ujanja
Mandela Road Bado foleni itaendelea kuwepo japo itapunguaKwa kweli hilo Daraja la Tazara limepunguza kama sio kutatua kabisa foleni ya Makutano Tazara.
Pamoja tunasonga mbele.
ujakaonaKapicha mkuu.
Mbona Waziri mkuu alishapita hapo mwezi jana wakati anakuja kulikagua?Kwa hiyo wanatufanya sisi ni chambo baada ya kupita sisi wakiona salama ndiyo waje wafungue aisee, mimi nitasubiri kwanza wafungue na wapite wao kwanza ndiyo nipite
Weka picha mkuuMbona Waziri mkuu alishapita hapo mwezi jana wakati anakuja kulikagua?
Mimi Napita Daily Hiyo Njia Hadi Kivule Kwa Wamakonde Ninachokiona Ni Aibu TupuBarabara ya kivule kuna shida hamna kinachofanyika wanasubiri masika ifike
Too low...Kwa hiyo wanatufanya sisi ni chambo baada ya kupita sisi wakiona salama ndiyo waje wafungue aisee, mimi nitasubiri kwanza wafungue na wapite wao kwanza ndiyo nipite