Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

mlipoanzishwa treni ya mwakyembe maneno yalikuwa hayohayo kuwa foleni sasa basi, haikusaidia. ikaja mabasi ya wendo kasi, maneno yakawa hayo hayo nayo haikusaidia. goja tuone na hilo daraja kama litapunguza magari ili foleni ipungue.
Watu wanaotumia treni na mwendo kasi usiwaambie kabisa huu upuuzi wako
 
Naomba niulize jambo, hivi ni lazima pale Tazara pawepo na traffic wakuongoza magari? Ni kwanini zisitumike zile taa? Maana panakua na upendeleo sana kulinganisha na matumizi ya taa za kuongozea magari maarufu kama traffic lights
 
hilo daraja linanisaidiaje mimi wa huku koromije ambaye pia kodi yangu imetumika kulijenga
Makontena yakipita hapo chini kwa haraka gharama za usafirishaji wa kukuletea nguo za mitumba huko Koromije zinapungua, na bei inashuka
 
A bridge is a connection between two separated roads.

Mtoa mada anazungumza Fly over. Barabara ilopita juu ya barabara zilizo chini
What separated Mandela and Nyerere road before that flyover(u call it bridge)?

Definition sahihi ya bridge 'connection between two roads/passageway separated BY water body, valley etc....now tell me what separated Mandela and Nyerere road before?
 
Habari wana jamiiforums. Sisi wakazi wa jimbo la ukonga tunsgukuru kufunguliwa kwa daraja la TAZARA. Kero kubwa iliyobakia kwa sasa ni foleni ya BABANA. Tunaomba kituo cha daladala kwa mabasi yanayoenda Kitunda na Kivule kwani yanasababisha foleni kubwa sana.
Naomba kuwasilisha.
kweli aisee foleni ya banana inakera sana.pia pale mombasa kero sana.nadhani pia style ya kujenda stend ya daladala kwenye kona ndiyo tatizo linaanzia hapo.mi sielewagi aliye leta hiyo stahili.
 
Makontena yakipita hapo chini kwa haraka gharama za usafirishaji wa kukuletea nguo za mitumba huko Koromije zinapungua, na bei inashuka
hivi kumbe bei ya vitu inapanda kutokana na msongamano wa magari dar, sio kodi na gharama za usafirishaji
 
Mheshimiwa Magufuli apewe sifa kwa hili ndugu zanguni sio kila kitu cha kupinga
 
What separated Mandela and Nyerere road before that flyover(u call it bridge)?

Definition sahihi ya bridge 'connection between two roads/passageway separated BY water body, valley etc....now tell me what separated Mandela and Nyerere road before?
They're just haters, wanachukia hata maendeleo ya nchi yao.
 
Acha ujinga, Tanzania imetoa bilioni 100 cash, waJapan wamechangia kiduchu ambapo hata hivyo imerudi kwao kwa kupitia kandarasi waliyopewa, na faida juu wamepata

Umesema niache Ujinga,nimeweka snapshot...hii hapa chini...Kupata taarifa zaidi ingia huu hapa Flyover Tazara yavuka nusu - JamiiForums/. NA hii link kutoka Michuzi blog..MICHUZI BLOG: RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLYOVER) MAKUTANO YA BARABARA YA MADELA NA NYERERE
TAMBUA KWAMBA INCHI WAHISANI WAKICHANGIA SEHEMU KUBWA YA MSAADA..NA MAKAMPUNI KUTOKA INCHI HUSIKA NDO YATASHINDA TENDA.MJAPANI ALICHANGIA BILLION 93.44 HUKU TANZANIA IKICHANGIA BILLION 8.3.
SIKU NYINGINE KABLA HUJAKURUPUKA KUMUITA MTU MJINGA JIRIDHISHE KWANZA.
1537175169079.png

1537174325135.png
 
Back
Top Bottom