Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Nilimuona jamaa na kibeiskeli chake ananyonga akipita kwenye hilo daraja wakati kuna signboard inayoonesha waenda kwa miguu na beiskeli hawaruhusiwi kupita.
Tatizo wameweka alama za ki udereva, sasa muendesha baiskeli ataelewa kweli? Wangeandika maandishi tena ya kiswahili.
 
Hakuna haja ya Rais kufanya ufunguzi. Hilo daraja dogo na la kawaida.
 
Yaani wasukuma na wandengereko na watu wengi Dar picha zitapigwa hapo sana... Mungu mkubwa mpe afya tele na maisha marefu Mh. Rais wetu..!!
 
Chadema wamepata cha kupinga.

Chadema njooni mpinge
 
Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Kama haya ndiyo mawazo ya kijana wa Kitanzania bado taifa kama taifa tuna hasara kubwa sana,
 
Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Sawa Ukonga wameshinda kwa ajili ya fly over,jimbo la kinondoni walizindua nn?jimbo la monduli walizindua nn?,kigoma walizindua nn Ili chama tawala kishinde?nimeamini wa mikoani ndio wana muelewa mpana kushinda dar.
 
Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Ivi ile ni fry over au dalaja??
 
Back
Top Bottom