FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,789
- 10,577
Chief nimeanza kutumia daraja jana na leo.. Jana hali haikuwa mbaya sana ila leo naona aliekuwa anazivuta gari za kwenda mjini kwenye makutano ya chang'ombe alikuwa anazichelewesha na ni kutokana na wingi wa gari kutoka kipande cha airport etcUshawahi kuganda Chang'ombe au Kamata masaa mawili?
Anyway step by step zinahitajika flyovers nyingine chang'ombe,kamata,moroko,mwenge