Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

vilevile pesa ni ya world bank je unajua pesa ya world bank ni ya nani au unashangilia tu!. Pesa ya mradi wa mabasi vilevile ni ya world bank. Jiulize ni kwa nini kila mkuu wa World bank ni Mmarekani.
 
Wewe mwenyewe kwenda nje mbona unaona kama bonge la success mbona huoni kama ni kitu cha kawaida? Na wewe mbumbumbu
Ningekuwa na sucess ningekuwa Tanzania ndugu mimi ni mtaftaji. Lakini siwezi kukaa kupiga domo siku nzima na kushangilia wakati watoto wetu hawana future au wanakaa chini. Kila mmoja inabidi ufanye jitihada. Kama ningekuwa sucees sana ningekuwa napata upepo ya beach bongo badala ya kufanya kazi hivi.....
 
Hongera kwao watekelezaji lakini hii bado haitoshi, serikali inapaswa kufanya mengi saña zaidi ya haya.
 
Nadhani lile daraja la singidar na see me you likikamilika ndio mradi Wa stone wa kwanza tangu ameingia madarakani
Hongera sana JK mtoto wa mujini
 
Punguza Ushamba Mkuu ,hilo Daraja lime jengwa kwa Kodi zetu na ni Wajibu wa Serikali yoyote Duniani kuhakikisha hayo yana fanyika ili kurahisisha baadhi ya mambo.
 
Tofauti yake ili uelewe kirahisi usiumize kichwa ni kama tofauti ya jengo la CCM makao makuu Na lile jengo la Chadema makao makuu

Mshenz@#/*(@)*#&@×€/×:;@,*@%+=&(♤;♤•
 
Hivi ni kwanini kila barabara, daraja... miradi ya serikali mnaona kama ni huruma ya mfalme wakati hayo ndiyo majukumu ya serikali. Wenzetu miradi kama hii ni midogo sana na ya kawaida na wala hakuna sherehe kila kadaraja kakifunguliwa. Na hii ndiyo maana serikali haifanyi kazi maana mnawapa kichwa kama vipi ni msaada! yaani Watanzania wangeona serikali nyingine zinavyofanya kazi na kodi wangelia machozi!
Mkuu ukweli unabaki palepale,hata hao wenzetu wanaaona no jambo kawaida flyover ya kwanza walishangilia,zilipokuha nyingi nyingine waliona no jambo dogo,na sisi tutafanya kama wao.Itafika mahala tutaona kuwa ni ya kawaida ila kwa sasa wakishangilia ni haki yao.
 
We are shithole country mkuu Elimu muhimu sana!!
 
Mkuu ukweli unabaki palepale,hata hao wenzetu wanaaona no jambo kawaida flyover ya kwanza walishangilia,zilipokuha nyingi nyingine waliona no jambo dogo,na sisi tutafanya kama wao.Itafika mahala tutaona kuwa ni ya kawaida ila kwa sasa wakishangilia ni haki yao.

Lakini sio maefu ya watu waache kufanya kazi kwasababu ya kufungua daraja moja jamani. Hizo pesa za sherehe zingetengeneza madawati mangapi, hiyo misafara ingepunguza mamilioni mangapi.

Je ni vitu gani vya kushangilia kitaifa

1. Tanzania tukindoka kwenye list ya nchi masikini ni swala la kitaifa
2. Ajira kama mfano tulikuwa 40% hawana kazi na sasa ni 10% hapo ni sheria na step ambazo ni za kifaifa

Na mengine mengi lakini kwa sasa bado maana watu bado wana lalamika hata zaidi ya wakati wa JK ikiwa na maana uchumi bado haujafika chini bado.
 
Tunashukuru limekamilika tutapita hapo juu,ila hili swala la kusifu sana fedha zetu sijui za ndani linanipa tafakari nzito sana juu ya matumizi ya fedha,mikataba ya madini na huko kwenye vitalu vya uwindaji..Pale kuna vibao vinaeleza Pesa imetoka wapi..hivi kwa nini vibao vimeandikwa Kiingereza na Waswahili wa Dar wanajua kusoma matangazo ya Tigo,Halopesa nk tu mambo ya Miradi hawajui pesa imetoka wapi? Ni mkopo,si mkopo au msaada.Kwa nini wana siasa wa Bongo hawajali swala Transparency?
 
Back
Top Bottom