Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Matak0 yenyewe huna huwa nakupakata kwa sababu unaniletea bure
Ha ha haa .... alright.... usichelewe leo I hv a suprise for u.....oga vizuri... alafu leo sitaki nikutese....kama juzi.....I can't wait to see your ....an....an k
 
Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile
 
Nawapongeza wote namaanisha MAGU NA JK, pakusifia tunasifia na kupongeza pia kwa kukosoa tutafanya vivyo hivyo.
 
Wakuu, tuacheni maskihara, sisi tuko nyuma sana. Mimi huku nilipo nahisi kila kitongoji kina hayo ma-ramp, tumechelewa sana.
 
Inawezekana kabisa nikawa sijui ama nikawa poyoyo wa mwisho. Nataka kujua tofauti kati ya BRIDGE, FLYOVER, NA DARAJA. maana tuliambiwa tazara inajengwa flyover na sasa wanasema ni daraja.
 
Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile
Kwa hisani ya watu wa Japan, watanzania hatuna shukrani kabisa.
 
Inawezekana kabisa nikawa sijui ama nikawa poyoyo wa mwisho. Nataka kujua tofauti kati ya BRIDGE, FLYOVER, NA DARAJA. maana tuliambiwa tazara inajengwa flyover na sasa wanasema ni daraja.
Tofauti yake ili uelewe kirahisi usiumize kichwa ni kama tofauti ya jengo la CCM makao makuu Na lile jengo la Chadema makao makuu
 
Huu uzi wanaupita kama hawauoni ila kinawauma huku wakiteleza na magari yao pale. Mxiuuuuuuuuu
 
Wapendwa habari.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Matunda ya Rais magufuli twayaona. wa TZNIA leo kwa mara ya kwanza wameonja fly over. Woote tumpe kura 2020
Magu oyeeeeeeeeeeeeeeeee. kama ulaya vile


Hivi ni kwanini kila barabara, daraja... miradi ya serikali mnaona kama ni huruma ya mfalme wakati hayo ndiyo majukumu ya serikali. Wenzetu miradi kama hii ni midogo sana na ya kawaida na wala hakuna sherehe kila kadaraja kakifunguliwa. Na hii ndiyo maana serikali haifanyi kazi maana mnawapa kichwa kama vipi ni msaada! yaani Watanzania wangeona serikali nyingine zinavyofanya kazi na kodi wangelia machozi!
 
Back
Top Bottom