Barabara ya juu inayokatiza katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela yaanza kutumika

Kwani Mkuu Kule Kivule Barabara Bado Mkandarasi Pale Kitunda Anafanya Ujanja
 
Haya tumekusikia
 
Nimepita tazara sasa hivi naona Magari yanapepea tu juu
 
Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
 
We unadhani ccm itatawala milele kwanini?
Hizi akili zetu ndio zinaipa ccm uhakika wa kutawala milele [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi na yale matuta waliyoweka Kipawa ni kwa ajili ya nini?. Naona yanasababisha foleni tu...
 
Ndo niko hapo now. Napitia juu.
Waitara oyeee
CCM juu..
Basi asanteni sana.
 
kwa kweli magu ni kiboko

atawale miaka 30 tu... tuwe kama new york
 
Kwa kweli hilo Daraja la Tazara limepunguza kama sio kutatua kabisa foleni ya Makutano Tazara.
Pamoja tunasonga mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…