Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Upuuzi mtupu! Subiri utaona polepole anaitisha press conference kuelezea daraja la TazaraNchi imejaa washamba,leo kujengwa daraja imekuwa Tanzania mpya?
Tatizo wameweka alama za ki udereva, sasa muendesha baiskeli ataelewa kweli? Wangeandika maandishi tena ya kiswahili.Nilimuona jamaa na kibeiskeli chake ananyonga akipita kwenye hilo daraja wakati kuna signboard inayoonesha waenda kwa miguu na beiskeli hawaruhusiwi kupita.
Na wewe njoo huku mkoani usafiri na ungo utoe uvivuHaya watu wa mikoani karibuni Dar mje muone barabara za juu mtoe na ushamba
[emoji13]kumbe kwa kiingereza neno daraja la juu ni flyover
Kama haya ndiyo mawazo ya kijana wa Kitanzania bado taifa kama taifa tuna hasara kubwa sana,Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Sawa Ukonga wameshinda kwa ajili ya fly over,jimbo la kinondoni walizindua nn?jimbo la monduli walizindua nn?,kigoma walizindua nn Ili chama tawala kishinde?nimeamini wa mikoani ndio wana muelewa mpana kushinda dar.Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Ivi ile ni fry over au dalaja??Zamani nilikuwa najua kuwa ukiwa unaishi Jiji la Dar es Salaam basi wewe utakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo. Lakini sasa nimekuja kujua baadhi yao hamnazo kabisa.
Yaani mtu mzima unashindwa kujua kwanini fly over ifunguliwe Leo! Pia hill Jimbo la Ukonga lina huduma muhimu kama maji na hospitali?
Haya sasa, nendeni mkafunge kampeni za uchaguzi mdogo ili muambiwe tumewaletea fly over ya TAZARA.
Mtu hata kuandika tu ni tatizo; fry over= flyover, dalaja= daraja, ivi= hivi.Ivi ile ni fry over au dalaja??