KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

KERO Barabara ya Kibada-Mwasonga ina ajali nyingi, iwekwe matuta, wanakimbia kama kwenye mashindano

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
photo_2026-09-27_16-11-51.jpg

Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
 
wingi wa matuta ni udhihirisho wa kwamba hatuwezi fata misingi
 
Back
Top Bottom