A
Kwangu hukoo, nmenunua eneo! Barabara ya lami now iko wap?View attachment 3679236
Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
Kwamba hayo matuta yanayowekwa huyaoni au?View attachment 3679236
Barabara ya Kibada-Mwasonga imekuwa na ajali nyingi na ndugu zetu wengi wamepoteza maisha, iwekwe matuta. Hii ni wiki ya pili ilitokea ajali asubuhi Mwasonga karibu na Kituo cha Mafuta cha Asam Oil, Dar es Salaam, Kigamboni
Kwamba hayo matuta yanayowekwa huyaoni au?