KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

KERO Barabara ya kiwanda cha Namera Gongo la mboto ni mbovu sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wahusika wakiamua kweli kushughulikia, hiyo siyo kazi ya gharama kubwa sana kulinganisha na impact yake.
 
Barabara ya kiwanda cha namera kuelekea Ulongoni B kipande kidogo sana lakini wahusika hawakitilii mkazo wana weka vifusi vinakaa mpaka watu wakujitolea wasambaze.

Mvua zimenyesha sasa imekua kero kubwa sana.
Oya tupiako kapicha basi.
 
Hiko kipande ni kifupi tu kutokea mwisho wa ile lami pale daraja la sgr kufika kwenye lami hapo namela,

Shida sijui nini kwa mamlaka.

Mbali zaidi barabara hiyo hiyo pia kuelekea mnadani ni mbovu wakati kila siku inaingiza ushuru kupitia mnada wa ng'ombe.

Tuendelee kuimba mapambio kwanza.
 
Back
Top Bottom