Hiko kipande ni kifupi tu kutokea mwisho wa ile lami pale daraja la sgr kufika kwenye lami hapo namela,
Shida sijui nini kwa mamlaka.
Mbali zaidi barabara hiyo hiyo pia kuelekea mnadani ni mbovu wakati kila siku inaingiza ushuru kupitia mnada wa ng'ombe.
Tuendelee kuimba mapambio kwanza.