Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
 
Hiyo inatokea Bunju -mabwepande-Mbopo hadi Madale mwisho.

Ingefaa sana kwa mabasi ya mkoani labda ya kaskazini kuepuka foleni na kupoteza muda.
 
Jamani, ki ukweli kabisa barabara za mbopo zina hali mbayaa... Zote mbili, ya kuanzia madale mwisho na ya kutokea mikoroshini. Bahati Mbaya m-bunge tumemtafuta lakini hakuna msaada tunaopata! Labda Jamiiforums mkitusaidia kupaza sauti tutasaidika! Magari yanaharibika, bajaji zimepandish bei.
 
Back
Top Bottom