KERO Barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe ni mbovu sana

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mnatusaidiaje kupaza sauti jamani kuhusu ujenzi wa barabara ya Mbezi kutokea Mbezi High School hadi Mpiji Magohe, barabara ilikuwa kwenye mpango wa kuanza ujenzi Mwaka 2025 mwezi wa 10 hadi tender waliitangaza.

Baadaye wakaitoa, now barabara ni mbaya sana, mashimo kila mahali, kutoka Mpiji hadi Barabara ya Morogoro unaweza tumia lisaa sababu ya mashimo, inatutesa sana.
photo_2026-04-13_17-21-16.jpg
photo_2026-04-01_00-25-13.jpg
 
Leo nimejipeleka huko, mwili wote unaniuma.. sirudi tena 🙌🏾
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwanini uishi huko? Dom hupajui? Vipi morogoro?

Unajua bana watu kama nyie huwa mnanishangaza sana mnaishi Milimani sehemu mbaya kufika ni mateso kuondoka mateso eti kisa ni Dar mfyuu.

Wakati Mpiji Magohe panaanza kuwika 2016 -2018 mlipashambulia sana pumbavu zenu tesekeni

Boko mnemela hupajui wewe hadi uende huko
 
Aisee
 
Pakiwekwa tu lami huko panageuka kua km ..... km umefika ...... sasa hivi utanielewa huko Mpigi kuna mijengo km Madale au Goba sema imejificha milimani jamaa wanapima upepo pajengwe lami washushe maghorofa kule kumekaa kitalii zaidi ingawa hakuna wanyama panafanana na kisarawe kwa mbali ingawa kisarawe vilima sio vingi sana kule chini kwenye daraja km unaenda kidimu si unapajua kuna mto unakatisha pale siku hizi kuna bonge la daraja zamani halikuwepo sasa km daraja imewezekana itashindikana lami? Na ile barabara imechongwa muda mrefu sana yaan barabara ile tangu 2010 ilishachongwa vizuri sio hii 2027
 
Kwanini uishi huko? Dom hupajui? Vipi morogoro?

Unajua bana watu kama nyie huwa mnanishangaza sana mnaishi Milimani sehemu mbaya kufika ni mateso kuondoka mateso eti kisa ni Dar mfyuu.

Wakati Mpiji Magohe panaanza kuwika 2016 -2018 mlipashambulia sana pumbavu zenu tesekeni

Boko mnemela hupajui wewe hadi uende huko
Duh we nae comment gani hii!
 
Back
Top Bottom