A
Anonymous
Guest
Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya vijiji hivyo ni Dimba, Kilola Mbwani, Maloo,Mvuleni, Kijiweni na Ruvu.
Acha utani, barabara hiyo mbona ni lami kabisa!!!!!Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana.
Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya vijiji hivyo ni Dimba, Kilola Mbwani, Maloo,Mvuleni, Kijiweni na Ruvu.