KERO Barabara ya Mchinga 2 hadi Kijiji cha Ruvu Mkoani Lindi ni mbovu mno

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Your browser is not able to display this video.
Hii ni barabara ya kutoka Mchinga 2 kuelekea Kijiji cha Ruvu ni mbovu mno, hapo ni eneo la Mkandiwata, Jimbo la Mchinga Manispaa ya Lindi, Mkoani Lindi, watumiaji wanapata changamoto sana.

Vijiji takribani saba vinategemea hiyo Barabara na Wananchi wamekuwa wakipata changamoto hiyo, baadhi ya vijiji hivyo ni Dimba, Kilola Mbwani, Maloo,Mvuleni, Kijiweni na Ruvu.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Alaumiwe dada salma na shemeji yetu JMk
 
Acha utani, barabara hiyo mbona ni lami kabisa!!!!!
Unateleza kama huna akili nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…