Pale makoroboi stand ya dalala, kuna tuta(bump) kubwa, baada ya tuta hilo kuna mashimo makubwa sana katikati ya barabara.
Cha ajabu kwenye tuta hilo na chini ya tuta hilo utakuta zimepaki dalala juu ya tuta, zinapaki daladala tatu hadi nne kwa upana na kuacha sehemu ndogo sana ya barabara kupita magari mengine na kulazimika magari yapite kwenye mashimo hayo makubwa sana.
Inabidi magari yapite taratibu sana na kumbuka hapo ni kwenye kona ambapo taa inakua imeruhusu hadi taa zinazima ni gari mbili au tatu tu ndio zinakua zimemaliza kuvuka na kuacha foleni kubwa nyuma.
Tunaomba mamlaka ishughulikie eneo hilo, lakini pia hapo sio stand ya daladala wanaacha kupaki stand wanapaki hapo lilipo tuta na kona ya kuingia barabara hiyo.
Ni sumbufu sana. Shimo hilo linazidi kukua wanaliangalia tu hadi lilete madhara zaidi.