Kiturilo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2021
- 708
- 2,859
- Thread starter
- #21
Kabisa mkuuShetani huwa hana guarantee ya kile anachopanga kwa binadam. Sasa hivi wataumbuka na ujenzi utaendelea.
View attachment 1959289
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuShetani huwa hana guarantee ya kile anachopanga kwa binadam. Sasa hivi wataumbuka na ujenzi utaendelea.
View attachment 1959289
Hajui kuwa uchumi wa Kati ni mtihani,bado anasahau madhara ya uviko.Hela zimeenda wapi?
Kama alikuwa anaijenga imekuwaje imesimama kwa kutokuwepo kwake?Tunazungumzia ela mdau iyo miundo mbinu anayoiweza bila pesa hutoboi....
NDIOUkiambiwa uthibitishe hili utaweza!?
Sio kwa maneno ya kusikia na kuambiwa unadhani unajua.
Mnaambiwa mnachotakiwa kujua mengine huachwa chini ya kapeti pilunguzeni mihemuko pambaneni na maisha yenu.
Walipwe fidia kwanza waliobomolewa nyumba zao kwa roho mbaya ya visasi aliyokuwa nayo mwendazakeBarabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha.
Waziri wa ujenzi prof Mbarawa alipotafutwa kutolea ufafanuzi madai hayo, simu yake iliita bila kupokelewa.
My take.
Chadema meno yote nje kwa furaha kwa sababu hii ndiyo njia pekee ya Lisu kumkomoa hayati Magufuli. Yani miradi ya watanzania ishindwe kukamilika ili wawe na maisha magumu.
![]()
Barabara ya njia nane Dar-Kibaha yakwama
Licha ya umuhimu wake kwa uchumi wa Jiji la Dar es Salaam, mikoa jirani na Taifa kwa ujumla, Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara (Tanroads), Rogatus Mativila amesema wanashindwa kumalizia...www.mwananchi.co.tz
Tulikuwa na Raisi wa ujenzi ndo mana aliiwezaMiundombinu ya usafri alikuwa anaiweza magufuli tu! Hii wizara ni ngumu sana
Ujenzi ujenzi ujenzi unahitaji akili kubwa tena akili ya kutenda sio siasa
Narudia tena na tena, tuwe na taasisi imara jamani, hivi JPM angeishi miaka 200 nyie?? Hii nchi ina watanzania milioni 60 hakuna kweli wenye uwezo wa kujenga taasisi imara isipokuwa mtu mmoja ambaye Mola amempenda zaidi?? Mfano wewe hapo hakuna chochote unachoweza kusaidia hii nchi yako? Huna hata kimoja unachoweza???Miundombinu ya usafri alikuwa anaiweza magufuli tu! Hii wizara ni ngumu sana
Ujenzi ujenzi ujenzi unahitaji akili kubwa tena akili ya kutenda sio siasa
Sasa hivi tunabadilishia mabegi stendi tu ukitoka semina hii unaunganisha nyingine juu kwa juu. Wife anakuja na begi lenye nguo safi anarudi nyumbani na begi lenye nguo chafuHela zimeenda wapi?
Alikunyang'anya shs ngapi?
Ccm ndo watuambie sasa maana mwendazake alikuwa anasema pesa ipoHela ya kujenga kumalizia huna ya kulipa fidia utaitoa wapi?
Sawasawa hata hivyo si Hatuhitaji maendeleo ya vitu kama ilivokuwa inasema kauli maarufu ya wanaharakati na wanasiasa kipindi kile miradi ya ujenzi imekolea.Barabara iliyokuwa inajengwa kwa kasi ya njia nane kutoka Dar hadi Kibaha imekwama kumalizika ujenzi wake kutokana na ukosefu wa fedha,Tanroads wamebainisha.
Waziri wa ujenzi prof Mbarawa alipotafutwa kutolea ufafanuzi madai hayo, simu yake iliita bila kupokelewa.
My take.
Chadema meno yote nje kwa furaha kwa sababu hii ndiyo njia pekee ya Lisu kumkomoa hayati Magufuli. Yani miradi ya watanzania ishindwe kukamilika ili wawe na maisha magumu.
![]()
Barabara ya njia nane Dar-Kibaha yakwama
Licha ya umuhimu wake kwa uchumi wa Jiji la Dar es Salaam, mikoa jirani na Taifa kwa ujumla, Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara (Tanroads), Rogatus Mativila amesema wanashindwa kumalizia...www.mwananchi.co.tz
Hatuhitaji maendeleo ya vitu. Wacha mradi usimame.