Barabara ya njia nane- Dar - Kibaha yakwama. Serikali yakanusha

Kwa speed hii ya wafanyabiashata wakubwa kukwepa kodi, matumizi ya ovyo ya serikali, kwenda UN na delegates 100+, ama kweli tunarudi enzi zile za hospitali kukosa dawa, polisi kushindwa kufika kwenye matukio ya kiharifu maana magari yao hayatakuwa na mafuta.

Siandiki hapa kulalamika, la hasha nawakumbusha manesi na daktari kuwa enzi zao za kula bata zinakaribia, wanaanza kubeba dawa zao na vifaa tiba kwa ajili ya kupiga hela...msimu wa Mavuno unanukia!
CCM Oyeeee! Mama apewe nafasi hadi 2030!
 
Ccm akili zenu za hovyo sana miradi muipange nyiekifali lawama kea chadema ambao hawajawahi hata siku moja kurun government ,semeni tu huwa mnakurupuka na hamjawahi kuwa na plan inayoeleweka
 
Ccm akili zenu za hovyo sana miradi muipange nyiekifali lawama kea chadema ambao hawajawahi hata siku moja kurun government ,semeni tu huwa mnakurupuka na hamjawahi kuwa na plan inayoeleweka
Chadema hata ndege zikikamatwa wanashangilia ,hayo majitu yana laana
 
Chadema inahusika na nini kwenye kukwama kwa Barabara? kha!.

Tozo wanakusanya CCM.
Chadema hata ndege zikikamatwa wanashangilia ,hayo majitu yana laana
 
Shetani huwa hana guarantee ya kile anachopanga kwa binadam. Sasa hivi wataumbuka na ujenzi utaendelea.

View attachment 1959289
Nani anayekusanya mapato kwenye nchi hii , act ,chadema , cuf? Huwezi kulaumu mtu au chama chochote ambacho hakijaund
Chadema hata ndege zikikamatwa wanashangilia ,hayo majitu yana laana
Hakuna cha laana hapo sema mlikuwa mnafanya mambo kinyume na utaratibu kwani mngesikiliza ushauri na kuvunjwa mikataba kwa kubadilisha sheria ili hao mnaowaita mabeberu wasisafirishe mali zetu kiholela mkaona chadema siyo wazalendo wakati nyie wenyeww mliamua kuwapatia rasilimali za nchi maslahi yenu binafsi
 
Kichwa kimejaa makamasi hiki....
Chadema na Lissu wanahusikaje hapo.....🤔 tozo na Kodi nani mkusanyaji
 
Huyo hana tofauti na lile kundi la mwenyekiti fulani ambalo kila unapofika uchaguzi wa chama chao huja na kauli mbiu ya "mwamba tuvushe" bila kujali maana ya neno "demokrasia" waliloliweka katika kirefu cha jina la chama chao, au ni muda mrefu gani aliokaa madarakani mwenyekiti wao. Kifupi wanaamini kwamba bila yeye hakuna chama yan ni yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuongoza chama na sio viongozi wengine.
 
Hazikamatwi sasa
 
Kwa tulio k'koo makontena yashaanza kutolewa na wakala GSM kama ilivyokuwa home shopping center kipindi Mkwele
 
Nani anayekusanya mapato kwenye nchi hii , act ,chadema , cuf? Huwezi kulaumu mtu au chama chochote ambacho hakijaunda serikali ,wakuwaumu ni hao watumia pesa zetu kujinufaisha
Chadema ndiyo wanahujumu hiyo miundombinu
 
[emoji1787][emoji1787] umemkaanga mkuu
 
My take.
Chadema meno yote nje kwa furaha kwa sababu hii ndiyo njia pekee ya Lisu kumkomoa hayati Magufuli. Yani miradi ya watanzania ishindwe kukamilika ili wawe na maisha magumu.
Acha uchochezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…