Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Hahahah! Umenikumbusha wimbo tulikuwa tunaimba tuiwa watoto;Magu Ni chauwongo
Eti unasemaje? Bila nani EAC isingekuwepo?Sasa EAC ipo wapi, si inafanya kazi na Tanzania, au? Bila Magufuli hiyo EAC ingekuwepo?
Wapiga kura kazi mnayo
Mbona hujajibu swali? Kwani kuwa ccm ndiyo tiketi ya kuwa mjinga?Ukiwa na wivu Sana mwishowe unajitundika
Na baada Tu ya 28 October, mtaanza kusema yaleyale ya Mbowe,Aachie ngazi
Sijui Watanzania ni waoga Sana
JPM Sjui dikiteta
Sijui Kwa nini police wametuzuia maandamano
Sababu kibaaao hakuna hata la maana
Hivi wewe Mpaka Leo hujamuelewa tu vizuri huyu Mzee mjasilia siasa political interpreneur Kama mhedhimiwa Assad CAG mstaafu alivyomdadavua kwenye ripoti zake.Nimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda Hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo
pindi nilikutana na injinia aliyeshiriki kufanya michoro ya hiyo barabara akiwa mwajiriwa wa EAC. aliniambia hii barabara inatakiwa ifike Holili na siyo Tengeru. Kwa ufupi design ilifanyika kabla hata Mrisho Gambo hajawa DC kule Korogwe. Kwa hiyo mh. ajitahidi asiwe kama Trump. Wafadhili ni African Development Bank (AfDB) kupitia EAC na siyo Arusha regional commissioner Office. Principal engineer wa EAC analijua hili vizuri sana kuwa hakuna mkono wa Gambo kwenye Hizi barabara mbili za Namanga Tengeru wala arusha BypassNimemsikia Mhe. Rais akisema barabara ya Namanga hadi Tengeru ni barabara iliyojengwa kwa usumbufu wa RC Arusha, nikipitia kwenye website na maandiko mbalimbali yanaonyesha ile ni barabara ya Afrika Mashariki na mipango yake ya ujenzi imeanza miaka mingi nyuma, aidha inaelezwa hiyo barabara itaenda Hadi sehemu inaitwa Tarakea Kenya.
Najiuliza lengo la kuihusisha na Mrisho Gambo ni kwamba Mhe. ajaelezwa vizuri kuhusu huo mradi au nikuwafanya watu wa Arusha kama hawaelewi?
Wapiga kura kazi mnayo