Barabara za Bongo bana, yaani mvua kidogo inakwamisha watu kutokea mikoa mingi hata wa kutoka Nairobi wanakwama

Barabara za Bongo bana, yaani mvua kidogo inakwamisha watu kutokea mikoa mingi hata wa kutoka Nairobi wanakwama

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Watz kila siku humu wanasifia madaraja yao na barabara, ila kwao mvua kidogo tu, maelfu ya watu kutokea mikoa tofauti wanaishia kukwama, huduma zote zinakwama.

Kwan huko 254 huwaga hayatokei hayo?

Hutokea lakini sio kwa kiasi hiki cha Bongo kufungia mikoa muhimu, yaani wa kutoka au kwenda Arusha, Moshi na hata wanaotokea Nairobi wanakwama au kuelekezwa kwenye vijibarabara vya porini.
Kwenu hata reli inasombwa

IMG-20180113-WA0094.jpg

2a.jpg

Eti mvua kidgo, hvi kwa akili zako finyu mvua kidgo itoe mafuriko kama hayo? We jamaa huoni kama hii ni kitu isiozuilika mzee? Tangulini mtu akapigana na nature? Hiv hata habar huangaliagi? Uone USA China Japan wanavyokubwa na hzi majanga. Em kuwa na akili basi sio kila kitu upinzani tu
 
Kiongozi
Ukitokea Mombasa Njia Ipo Sawa Sawa Hadi Dar es salaam. Kutokea Nairobi Ipo Sawa Sawa Yaani Ukifika Korogwe Unapitia Handeni Halafu Mkata
Barabara Zote Hizo Ni Za Lami. Changamoto Ya Hapo Ni Mvua Nyingi Sana Ambazo Zamani Zilinyesha Sana Na Barabara Ikapitika

Kwasasa Hivi Ni Mvua Nyingi Sana Kwa Ghafla
 
Utafikiri mvua kubwa zikinyeesha kenya huwa hii hali haitokei,
Yule Mzungu aliyewatukana juzi kati yupo sahihi 100%
 
Mbona hukukurupuka na hizi habari hapa?? Za aibu hamsemi lakini za Ndege mkakimbia huku mbio umbea Kama wanawake.
Haina haja nikurupuke nazo wakati tayari zimeshapostiwa kwenye thread kibao,
Mjinga pekee ndio atarudia rudia kupost wakati zilishapostiwa,
Hizo ndege naona zinakuuma kweli kweli 😂😂😂
Nyie ndio wanafiki kwa sababu huwa hamleti vitu vyenu vya aibu zaidi ya vitu vya kujisifia ujinga.
 
Utafikiri mvua kubwa zikinyeesha kenya huwa hii hali haitokei,
Yule Mzungu aliyewatukana juzi kati yupo sahihi 100%
[emoji1][emoji1][emoji1]kumbe sasa ni afadhali ya sisi, ambao barabara yote ni poa,isipokuwa mto umemeza daraja,ni swala la kusubiri tu masaa kadhaa safari iendelee.ila huko kwa kina njugunaa hata barabara yote ni shamba la viazi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hawa jamaa ni wajinga kinoma 😂😂😂 Wakati hapo maji yakipungua barabara inarudi kwenye hali yake freshi tu.
 
Haina haja nikurupuke nazo wakati tayari zimeshapostiwa kwenye thread kibao,
Mjinga pekee ndio atarudia rudia kupost wakati zilishapostiwa,
Hizo ndege naona zinakuuma kweli kweli 😂😂😂
Nyie ndio wanafiki kwa sababu huwa hamleti vitu vyenu vya aibu zaidi ya vitu vya kujisifia ujinga.
Ama mambo ya aibu hupendi? 😁😁 Mambo ya Ndege niliyazoea tangu udogo wangu Yani nilizipata Ndege za KQ sio Kama wewe unashangilia wakati umejaza mindevu...kwangu Ndege Ni kitu Cha kawaida Cha ajabu nashangaa kuona ukishangilia kama mtoto.
 
Back
Top Bottom