Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Itafikiaje na mvua zenyewe hazitoshi kwa Lana yenu mara ooo! Mvua ya Kenya imekwama Tanzania yani wakenya wana akili ndogo kweli, sasa munasema kwenu mafuriko hayatokei kama Tanzania wakati mvua inayonyesha hata haitoshi kwa kilimo harafu munataka mushindane na TZ kuhusu mafuriko kwahiyo Mto unaweza kutema maji bila ya kujaa ? Kilakitu kwenu mashindano mpaka neema za mwenyezimungu pia mashindano . Hapa ndo unapokuja kujua kama wakenya wengi wanaugua uchizi. Hii ni sawa na sii tuposti ukame unaotokea Kenya harafu tuwaone hawana akili sababu Tanzania hautokei na ukitokea kwa kiasi kidogo sana sasa ya uzima haya kweli !!.Yanatokea Ila hatufuchi Kama nyinyi [emoji16]