Barabara za Bongo bana, yaani mvua kidogo inakwamisha watu kutokea mikoa mingi hata wa kutoka Nairobi wanakwama

Barabara za Bongo bana, yaani mvua kidogo inakwamisha watu kutokea mikoa mingi hata wa kutoka Nairobi wanakwama

Angalia vizuri na uelewe nini maana ya thabiti, hapo mahali pamepigwa na mafuriko ya kufa mtu lakini reli ikabaki imesimama, nyie mvua kidogo tu miko yote inafungwa.
Hivi upo Tanga ukaona mvua iliyonyeesha?
Kwa kutetea ili usiaibike hujambo.
 
Hivi upo Tanga ukaona mvua iliyonyeesha?
Kwa kutetea ili usiaibike hujambo.

Kituko kama hiki hapa chini hata ikija mvua ya manyunyu kitazolewa tu

IMG-20180113-WA0094.jpg
 
Kituko kama hiki hapa chini hata ikija mvua ya manyunyu kitazolewa tu

IMG-20180113-WA0094.jpg
Bora hiyo reli ni ya zamani kuliko hii yenu imebomoka bila hata kuanza kutumika,
Bila kusahau lile daraja lililobomoka baada ya kuzinduliwa 😂😂😂
 
Bora hiyo reli ni ya zamani kuliko hii yenu imebomoka bila hata kuanza kutumika,
Bila kusahau lile daraja lililobomoka baada ya kuzinduliwa 😂😂😂

Reli yetu mpya imeonyesha uthabiti na uimara mkubwa sana, yaani imegongwa na mafuriko balaa na kubaki imara, nyie manyunyu tu mikoa yote inaganda hakuna kuingia Dar wala kutoka.
 
Reli yetu mpya imeonyesha uthabiti na uimara mkubwa sana, yaani imegongwa na mafuriko balaa na kubaki imara, nyie manyunyu tu mikoa yote inaganda hakuna kuingia Dar wala kutoka.
Ingekuwa imara mafuriko yangepita bila kuharibu chochote

Wakenya hawajui chochote kuhusu mvua inabidi waje TZ kuja kutalii mvua
 
Afadhali huku kwetu mvua ikitulia barabara zinarudi kwenye hali yake ya kawaida,
Huku Kenya zinabomoka kabisa 😂😂😂
Hii hapa barabara ya Msa -Tan
Na huwezi waona wakifungulia nyuzi 😂😂😂
REDEEMER.
 
Heheee...barabara ya msa-tanga...
Lkn bado hujathibitisha km ni eneo gani
Afadhali huku kwetu mvua ikitulia barabara zinarudi kwenye hali yake ya kawaida,
Huku Kenya zinabomoka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa barabara ya Msa -Tan
Na huwezi waona wakifungulia nyuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
REDEEMER.
 
Siwez bisha kitu sijui...
Nithibitishie kwanza ndio nione km nitabisha su laa!
Angalia hao polisi wamevaa nguo za nchi ipi,
Ukishindwa nenda kawaulize watu waliosafiri kwa njia hiyo,
Ukibisha tena angalia hizo barabara zilizojengwa chini ya kiwango kutokana na ufisadi uliokubuhu 😂😂😂
 
Thibitisha madai yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hilo ni eneo gani?
Angalia hao polisi wamevaa nguo za nchi ipi,
Ukishindwa nenda kawaulize watu waliosafiri kwa njia hiyo,
Ukibisha tena angalia hizo barabara zilizojengwa chini ya kiwango kutokana na ufisadi uliokubuhu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom