babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ni wajibu wangu kufurahia maendeleo ya nchi yangu,Ama mambo ya aibu hupendi? 😁😁 Mambo ya Ndege niliyazoea tangu udogo wangu Yani nilizipata Ndege za KQ sio Kama wewe unashangilia wakati umejaza mindevu...kwangu Ndege Ni kitu Cha kawaida Cha ajabu nashangaa kuona ukishangilia kama mtoto.
Alafu mbona unachange gear hewani.