babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Ni wajibu wangu kufurahia maendeleo ya nchi yangu,Ama mambo ya aibu hupendi? ππ Mambo ya Ndege niliyazoea tangu udogo wangu Yani nilizipata Ndege za KQ sio Kama wewe unashangilia wakati umejaza mindevu...kwangu Ndege Ni kitu Cha kawaida Cha ajabu nashangaa kuona ukishangilia kama mtoto.
Jiwe anaendelea kujenga barabara akiamini zinadumu milele, badala aimarishe kipato cha mwananchi mmoja mmoja na kurudisha nyumba za serikaali alizouza kwa bei cheeWatz kila siku humu wanasifia madaraja yao na barabara, ila kwao mvua kidogo tu, maelfu ya watu kutokea mikoa tofauti wanaishia kukwama, huduma zote zinakwama.
Wabongo si wana ndege 7. Kwanini wasipande hizo ndege? Au umasikini umewachapa KO mithili ya KO za Mayweather?
Jiwe anaendelea kujenga barabara akiamini zinadumu milele, badala aimarishe kipato cha mwananchi mmoja mmoja na kurudisha nyumba za serikaali alizouza kwa bei chee
jambo ambalo halisemwi ni kwamba hizo barabara zilizo chini ya kiwango zilijengwa chini ya usimamizi wa huyu mtukufu wa sasa a.k.a Jiwe anayesifiwa kwa kuleta maendeleo.Watz kila siku humu wanasifia madaraja yao na barabara, ila kwao mvua kidogo tu, maelfu ya watu kutokea mikoa tofauti wanaishia kukwama, huduma zote zinakwama.
Hahaha wazungu wenyewe wanatuelewa linapokuja suala la roads standardImagine Km 850 za Barabara kali kama hii,
Imagine Driving Maki Eksi yako toka Dar hadi Mbeya 850km Mkeka kama huu,
Hapo kenya vitu kama hivi mtaishia kusikia tu
Pictures taken by Me
View attachment 1232876View attachment 1232878View attachment 1232879View attachment 1232883View attachment 1232884View attachment 1232892
Hahaha wazungu wenyewe wanatuelewa linapokuja suala la roads standard View attachment 1232928
Poa ngoja niisakeMkuu tuma link ya hiii kitu nami nipate kuona
Watz kila siku humu wanasifia madaraja yao na barabara, ila kwao mvua kidogo tu, maelfu ya watu kutokea mikoa tofauti wanaishia kukwama, huduma zote zinakwama.
jambo ambalo halisemwi ni kwamba hizo barabara zilizo chini ya kiwango zilijengwa chini ya usimamizi wa huyu mtukufu wa sasa a.k.a Jiwe anayesifiwa kwa kuleta maendeleo.
Hii ishu duniani kote tena hasa India ndo wanateseka sana harafu TZ mvua nyingi tofauti na Kenya , juzi kati hapo ilitokea Iran sasa hali hii huwez kuizuia na kama Kenya itaweza bc ndo itakua nchi ya kwanza Duniani.Watz kila siku humu wanasifia madaraja yao na barabara, ila kwao mvua kidogo tu, maelfu ya watu kutokea mikoa tofauti wanaishia kukwama, huduma zote zinakwama.
Sio kosa lake msameheni tu kosa la nchi yake kua na lana mpaka mvua wanaisikia tu hajawahi kuona mvua kubwaEti mvua kidgo, hvi kwa akili zako finyu mvua kidgo itoe mafuriko kama hayo? We jamaa huoni kama hii ni kitu isiozuilika mzee? Tangulini mtu akapigana na nature? Hiv hata habar huangaliagi? Uone USA China Japan wanavyokubwa na hzi majanga. Em kuwa na akili basi sio kila kitu upinzani tu
Hutokea lakini sio kwa kiasi hiki cha Bongo kufungia mikoa muhimu, yaani wa kutoka au kwenda Arusha, Moshi na hata wanaotokea Nairobi wanakwama au kuelekezwa kwenye vijibarabara vya porini.
Kwenu hata reli inasombwa
Where did you get these farces?Utafiti unaonesha Duniani kote ni 5% tu ya Watu wamewahi safiri kwa ndege,
Wewe uko kwenye 95%
Relax, si kila mtu atapanda ndege.
Where did you get these faeces?Utafiti unaonesha Duniani kote ni 5% tu ya Watu wamewahi safiri kwa ndege,
Wewe uko kwenye 95%
Relax, si kila mtu atapanda ndege.
Where did you get these faeces?Utafiti unaonesha Duniani kote ni 5% tu ya Watu wamewahi safiri kwa ndege,
Wewe uko kwenye 95%
Relax, si kila mtu atapanda ndege.
Where did you get these faeces?Utafiti unaonesha Duniani kote ni 5% tu ya Watu wamewahi safiri kwa ndege,
Wewe uko kwenye 95%
Relax, si kila mtu atapanda ndege.