May 2017...hyo now tuko 12k pavedHehehe!! Sikua nimeangalia tarehe hiyo ni ya 2014, ila bado mpo nyuma sana, angalia kwenye hii strategic plan mpo 9,781 km (paved) - hapo imejumuisha aina zote yaani (trunk, regional and district roads)
7611km? Hehee. Wewe tayari ushakuwa nyumbu official.Nimekuambia hamjafika kwenye level ya kujilinagisha na Kenya kwenye mambo ya barabara
Kulingana na Roads Board yenu, nchi yote hiyo pamoja na makelele yote paved road ni 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved.
Sasa waza hilo halafu uje kwa Kenya, paved road ni mara mbili ya yenu
Hivi upo Tanga ukaona mvua iliyonyeesha?Angalia vizuri na uelewe nini maana ya thabiti, hapo mahali pamepigwa na mafuriko ya kufa mtu lakini reli ikabaki imesimama, nyie mvua kidogo tu miko yote inafungwa.
Bora hiyo reli ni ya zamani kuliko hii yenu imebomoka bila hata kuanza kutumika,Kituko kama hiki hapa chini hata ikija mvua ya manyunyu kitazolewa tu
Bora hiyo reli ni ya zamani kuliko hii yenu imebomoka bila hata kuanza kutumika,
Bila kusahau lile daraja lililobomoka baada ya kuzinduliwa πππ
Ingekuwa imara mafuriko yangepita bila kuharibu chochoteReli yetu mpya imeonyesha uthabiti na uimara mkubwa sana, yaani imegongwa na mafuriko balaa na kubaki imara, nyie manyunyu tu mikoa yote inaganda hakuna kuingia Dar wala kutoka.
Imagine Km 850 za Barabara kali kama hii,
Imagine Driving Maki Eksi yako toka Dar hadi Mbeya 850km Mkeka kama huu,
Hapo kenya vitu kama hivi mtaishia kusikia tu
Pictures taken by Me
View attachment 1232876View attachment 1232878View attachment 1232879View attachment 1232883View attachment 1232884View attachment 1232892
Afadhali huku kwetu mvua ikitulia barabara zinarudi kwenye hali yake ya kawaida,
Huku Kenya zinabomoka kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa barabara ya Msa -Tan
Na huwezi waona wakifungulia nyuzi [emoji23][emoji23][emoji23]
REDEEMER.
Haina haja ya kuthibisha wakati Inaonekana hapo ni wapi,Heheee...barabara ya msa-tanga...
Lkn bado hujathibitisha km ni eneo gani
Haina haja ya kuthibisha wakati Inaonekana hapo ni wapi,
Au unataka kubisha.
Angalia hao polisi wamevaa nguo za nchi ipi,Siwez bisha kitu sijui...
Nithibitishie kwanza ndio nione km nitabisha su laa!
Angalia hao polisi wamevaa nguo za nchi ipi,
Ukishindwa nenda kawaulize watu waliosafiri kwa njia hiyo,
Ukibisha tena angalia hizo barabara zilizojengwa chini ya kiwango kutokana na ufisadi uliokubuhu [emoji23][emoji23][emoji23]