DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000013960.jpg
Hapa gari ndogo haiwezi kupita maana itaharibika kabisa. Mkandarasi kama huyu inakuwaje anapewaa kazi na kuharibu barabara.

Any way mzee baba alishaondoka acha mjipigie tu.
 
Sasa hii ndo nini? Zimezidiwa hata na barabara wakati wa dola ya rumi maelfu ya miaka.

1000013960.jpg


allypipi the Roman emperor
 
Hizo barabara acha ziharibiwe tu, zilijengwa kwa hila.
 
Siku hizi wakandarasi wanajifanyia tu..,especially hizi barabara za uchochoroni hakuna wakuwakagua.
 
Sipati picha wale 'Viumbe wa Mungu' sijui wana hali gani?
 
Back
Top Bottom