DOKEZO Barabara za Chato zinaharibiwa na mkandarasi uchwara. Amejenga njia za maji za ovyo. Kalemani yupo tu hana lolote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Sasa hii ndo nini? Zimezidiwa hata na barabara wakati wa dola ya rumi maelfu ya miaka.



allypipi the Roman emperor
 
Hizo barabara acha ziharibiwe tu, zilijengwa kwa hila.
 
Siku hizi wakandarasi wanajifanyia tu..,especially hizi barabara za uchochoroni hakuna wakuwakagua.
 
Sipati picha wale 'Viumbe wa Mungu' sijui wana hali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…