Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.
Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana.
Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways.
Kuna watu ukiwauliza watachekelea lakini baadae akitokea kiongozi mjuba akanza kupiga watu pingu tutalia na kusaga meno.
Hizo chochoro lengo lake Nini ikiwa idadi ya magari Binafsi yanaongezeka Kila uchwao.
Nimeacha kudiscuss Jiji zima la Dar linafanana na Jiji Gani jingine duniani nikona huko ni mbaali na majibu hakuna.
JFYI.. Dar ndio Jiji pekee duniani halina City gardens.. (usiniambie Mbazi mmoja maana pameshazungushwa mabati bad not available for public consumption.
Sasaivi Dar ukitaka kwenda sehem ya kukaa na Ku relax ni highly expensive, na lazima iwe Bar au Restaurants.
Beach zote zina mabanda ya mama ntilie.
Tuachane na hayo.
Hizi barabara nyembamba za mwendo Kasi Jiji zima ni kwa maslahi ya nani na time copy wapi hii style?