Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Njia pekee ya kukabiliana na msongamano wa magari ni kuwa na usafiri bora wa umma na si kuongeza lanes. Miradi kama mwendo kasi, treni na trams ndiyo hupunguza msongamano.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwenye kupanua hii barabara kuna miundombinu inabomolewa ili ipanuliwe mfano daraja la juu la pale kimara.Unahara tu, barabara hiyo hupanuliwa kila awamu, samia anaongeza lane nne,habomoi
Njia pekee ya kukabiliana na msongamano wa magari ni kuwa na usafiri bora wa umma na si kuongeza lanes. Miradi kama mwendo kasi, treni na trams ndiyo hupunguza msongamano.
View attachment 3138441
Nimependa ISLAMABAD .Tuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.
Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana.
Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways.
Kuna watu ukiwauliza watachekelea lakini baadae akitokea kiongozi mjuba akanza kupiga watu pingu tutalia na kusaga meno.
Hizo chochoro lengo lake Nini ikiwa idadi ya magari Binafsi yanaongezeka Kila uchwao.
Nimeacha kudiscuss Jiji zima la Dar linafanana na Jiji Gani jingine duniani nikona huko ni mbaali na majibu hakuna.
JFYI.. Dar ndio Jiji pekee duniani halina City gardens.. (usiniambie Mbazi mmoja maana pameshazungushwa mabati bad not available for public consumption.
Sasaivi Dar ukitaka kwenda sehem ya kukaa na Ku relax ni highly expensive, na lazima iwe Bar au Restaurants.
Beach zote zina mabanda ya mama ntilie.
Tuachane na hayo.
Hizi barabara nyembamba za mwendo Kasi Jiji zima ni kwa maslahi ya nani na time copy wapi hii style?
SioUsafiri bora wa Umma wa kiwango cha Udart sio?
Barabara za East Africa karibia zote zunafananaTuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.
Kuna muendelezo wa vitu ambavyo pengine baadae vikaleta matatizo makubwa sana.
Wakati wenzetu wamepanua njia zao kwenda kwenye 6 to 8 lanes, sisi tunatumia millions of USD kujenga highly ineffective highways.
Kuna watu ukiwauliza watachekelea lakini baadae akitokea kiongozi mjuba akanza kupiga watu pingu tutalia na kusaga meno.
Hizo chochoro lengo lake Nini ikiwa idadi ya magari Binafsi yanaongezeka Kila uchwao.
Nimeacha kudiscuss Jiji zima la Dar linafanana na Jiji Gani jingine duniani nikona huko ni mbaali na majibu hakuna.
JFYI.. Dar ndio Jiji pekee duniani halina City gardens.. (usiniambie Mbazi mmoja maana pameshazungushwa mabati bad not available for public consumption.
Sasaivi Dar ukitaka kwenda sehem ya kukaa na Ku relax ni highly expensive, na lazima iwe Bar au Restaurants.
Beach zote zina mabanda ya mama ntilie.
Tuachane na hayo.
Hizi barabara nyembamba za mwendo Kasi Jiji zima ni kwa maslahi ya nani na time copy wapi hii style?
Sisiem kumejaa 'wanasiasa'. Maendeleo ya kweli yanahitaji 'statesmen'. Mwanasiasa huwaza uchaguzi ujao, statesman huwaza vizazi vijavyo!Jiji la Dar kwa upande wa miundo mbinu ya barabara Bado sana, Lina safari ndefu.
Jiji zima barabara ya maana ni ile ya Magufuli terminal to kibaha/morogoro road 🛣️ Tena km 19.
Inashangaza kwa barabara kama ya kilwa na
ile ya airport(gmboto) walipoamua kujenga mwendokasi katikati,Huku pembeni wamejenga lane mbili kama zamani,Tena kwa kilwa road zinaishia rangi tatu na ni barabara mpya. Wakati huo watu wanazidi kununua maeneo na kujenga hadi wilaya ya mkursnga Huku wakifanya kazi dar. Wakati gongo la mboto watu wanazidi kusogea wilaya ya kisarawe!!
Mtu unaishia kujiuliza hivi hii miradi ya ujenzi wa barabara kwa nini serikali usije na mpango wa vision ya miaka 100 ikajenga lanes za kutosha angalau Tano Kila upande kwa hizi barabara kubwa?
Matokeo yake unakuta Kila baada ya miaka miwili unasikia Kuna ujenzi kwenye barabara hiyo hiyo moja.
Sisiem sijui Wana shida Gani Hawa watu.
Mkuu, amini nakuambia. Tanzania level yetu kwenye miundombinu ya barabara ni Burundi, tena kuna baadhi ya vibarabara vyao viko vizuri kuliko hizi za kwetu.Burundi? Seriously 😂 😂 😂
Kufanana nini!?..kuna standards za barabara na vyombo vya moto vitumiavyo barabara,we unataka barabara pana kuliko magari yanayopita Ili iweje?Kwamba Muhim ni mwendokas tu , au sio?
Na zinafanana na za wapi kwingine duniani
Nenda tanga kaone how city inajengwa, mji una sewage system kuanzia ushuani hadi uswahilini, waswahili walipangwa kwa bakora mpka leo hakuna anaevamia eneo la wazi, barabara zilipangwa toka 1930 hadi leo hakuna na hakuwez kuwa na jam, open space zipo kibao na zote zinahudumiwa na city council, zamani ilikuwa manispaa (huu mji ulianza kuwa manispaa toka 1930's huko), nyumba zimepangwa vzr hadi mitaa mipya inayo chipukia wanajipanga wenyewe japo wabishi wapo, hawa jamaa hawana shida ya maji, miundombinu ilitengenezwa vzr kutokana na population, barabara zao ni inclusive hata kama una baiskeli, utaendesha vzr popote ndani ya mji, ngumu sana kukutana na ajali ya baiskeli na gari, japo bodaboda ndio kishanga, hawana town centre au downtown, kila huduma ina mitaa yake so ni ngumu kukuta population eneo moja kama vile kko.....kuna mengi ya kujifunza kwa mjerumani alie ujenga mji wa tanga japo ni wazamani sanaTuseme ukwel kabla mambo hayajaharibika sana.