Barabara za Dar zinafanana na za sehemu gani nyingine duniani?

Njia pekee ya kukabiliana na msongamano wa magari ni kuwa na usafiri bora wa umma na si kuongeza lanes. Miradi kama mwendo kasi, treni na trams ndiyo hupunguza msongamano.
 
Unahara tu, barabara hiyo hupanuliwa kila awamu, samia anaongeza lane nne,habomoi
Mkuu kwenye kupanua hii barabara kuna miundombinu inabomolewa ili ipanuliwe mfano daraja la juu la pale kimara.
Mitaro ya maji ya mvua ya pembeni mwa barabara, service road za zamani
 
Reactions: Cyb
Nimependa ISLAMABAD .
 
Nakuunga mkono kwa uzi wako na naungana na wewe kwenye masikitiko haya, ila kuhusu kufanana na wapi naona hujafika Congo wewe mkuu!
 
Barabara za East Africa karibia zote zunafanana
 
Sisiem kumejaa 'wanasiasa'. Maendeleo ya kweli yanahitaji 'statesmen'. Mwanasiasa huwaza uchaguzi ujao, statesman huwaza vizazi vijavyo!
 
Barabara za East Africa karibia zote zunafanana
But notin big City ndugu Mshana, hizi porojo za Mwendokas na kutuachia uchochoro zinafanana na wapi?
Ke, Ug, Rw, au wap?

Kuna mwamba anazifananisha na Burundi😂
 
Kwamba Muhim ni mwendokas tu , au sio?
Na zinafanana na za wapi kwingine duniani
Kufanana nini!?..kuna standards za barabara na vyombo vya moto vitumiavyo barabara,we unataka barabara pana kuliko magari yanayopita Ili iweje?
 
Nenda tanga kaone how city inajengwa, mji una sewage system kuanzia ushuani hadi uswahilini, waswahili walipangwa kwa bakora mpka leo hakuna anaevamia eneo la wazi, barabara zilipangwa toka 1930 hadi leo hakuna na hakuwez kuwa na jam, open space zipo kibao na zote zinahudumiwa na city council, zamani ilikuwa manispaa (huu mji ulianza kuwa manispaa toka 1930's huko), nyumba zimepangwa vzr hadi mitaa mipya inayo chipukia wanajipanga wenyewe japo wabishi wapo, hawa jamaa hawana shida ya maji, miundombinu ilitengenezwa vzr kutokana na population, barabara zao ni inclusive hata kama una baiskeli, utaendesha vzr popote ndani ya mji, ngumu sana kukutana na ajali ya baiskeli na gari, japo bodaboda ndio kishanga, hawana town centre au downtown, kila huduma ina mitaa yake so ni ngumu kukuta population eneo moja kama vile kko.....kuna mengi ya kujifunza kwa mjerumani alie ujenga mji wa tanga japo ni wazamani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…