LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Jiji la Arusha linahitaji bajeti kubwa sana ili kujenga barabara hasa za mitaani
Hii ni kutokana na aina ya ardhi ili ujenge barabara ni lazima uhamishe ule udongo wa eneo husika na kuleta udongo ule mgumu,
ikifika kiangazi vumbi ikifika masika ndo balaa zaidi.
Sina uzoefu na gharama za ujenzi wa barabara lakini kwa kuisia tu kujenga kilometa tano ya barabara za jiji la Arusha ni sawa na kujenga kilometa 15 kwa mkoa wa Singida.