Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

Barabara za Tanzania zitakuwa na ubora mkubwa na mwonekano mzuri sana

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia

Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
 
Lami za Tanzania zinatakiwa kuwa na ubora kama lami za kwenye video
 
Back
Top Bottom