Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Nina nyuzi karibia 50 zipo huku jamiiforum nikiongelea maono niliyonayo juu ya TanzaniaKwamba kwa hiyo karata ya barabara basi wadanganyika wata kuchagua kuwa raisi Embu punguza bangi mkuu
Hizo barabara zitajengwa na mainjinia wa China au wa hapahapa Tanzania?Lami za Tanzania zinatakiwa kuwa na ubora kama lami za kwenye video
View attachment 3375993
Haijalishi atajenga nani ila ubora lazima uzingatiwe tofauti na hizi za sahiviHizo barabara zitajengwa na mainjinia wa China au wa hapahapa Tanzania?