KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 828
- 1,506
Wawekwe wazi kuwa wako exempted kwenye sheria za BarabaraniGari yenye namba za kibalozi ni kama office zao. Hata airport ukiwa na diplomatic passport unapita free tu. Tupo sawa ila siyo sawasawa.
Kajishughulishe kusoma Vienna convention on diplomatic relations ya 1961 utajua vizuri. Kila kitu kipo wazi ukiipitiaWawekwe wazi kuwa wako exempted kwenye sheria za Barabarani
Nikiwakuta siku nyingine tutazungumza, waseme tupo pamoja.Wangekupa na Kesi kabisa. Au ulitaka Kuwateka unawafuatilia Nyuma Nyuma Ili iweje..
Sawa sawaKajishughulishe kusoma Vienna convention on diplomatic relations ya 1961 utajua vizuri. Kila kitu kipo wazi ukiipitia
Umetisha, za ruti gani?Hao wana namba za kibalozi. Hapa Dar kuna daladala zina hiyo immunity. Ukiwafuata inakula kwako.
Kwani haziruhusiwi?Huo ndo ukweli..kuna watu gar zao huku mtaani zina p no za Congo na Malawi na wanakatiza nazo vizuri barabara kuu..Sasa wewe iga uone.
Usingesimama mdau.Namaanisha sheria za Barabarani,
Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.
Barabara ya Dar - Moshi.
Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale nimewaacha ila baada ya kama dakika 10, wakanipita kabla yakufika Mandera.
Nikaona ni kampani nzuri nikaunga nyuma yao, hawajali 50 kabisa.
Niliweza mwendo wao kwasababu Speed yao ilikuwa moderate sana 120kph-150kph .
Wao mbele mimi nyuma, hakuna Traffic anayewapiga mkono, vuka Kimange, vuka Mbwewe!
Tumevuka Mkata, mbele kabisa, naona Police amesogea road kabisa akawataka wale jamaa wapunguze mwendo, Kumbe lengo lilikuwa ni mimi, jamaa walivyopunguza mwendo traffic akafanikiwa akanisogeza pembeni! Washkaji wakaondoka zao.
Mitifuano ya kisheria ikaanza baina yangu na Police, kosa langu ilikuwa overspeed, wakati kuna wenzangu wao hilo haliwahusu kabisa.
Mkuu wa kituo waliponirudisha (ilibidi nipelekwe) akaniambia wenzio wana Immunity, sio kila kitu cha kuiga.
Nimelipa fine japo kwa tabu sana.
Nauliza hizi Immunity zinawaweka wengine juu ya sheria? Why
Punguza ujuaji, , Balozi ana hadi sawa na rais wa nchi yake anayowakalisha kwenye nchi iliyopoNamaanisha sheria za Barabarani,
Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.
Barabara ya Dar - Moshi.
Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale nimewaacha ila baada ya kama dakika 10, wakanipita kabla yakufika Mandera.
Nikaona ni kampani nzuri nikaunga nyuma yao, hawajali 50 kabisa.
Niliweza mwendo wao kwasababu Speed yao ilikuwa moderate sana 120kph-150kph .
Wao mbele mimi nyuma, hakuna Traffic anayewapiga mkono, vuka Kimange, vuka Mbwewe!
Tumevuka Mkata, mbele kabisa, naona Police amesogea road kabisa akawataka wale jamaa wapunguze mwendo, Kumbe lengo lilikuwa ni mimi, jamaa walivyopunguza mwendo traffic akafanikiwa akanisogeza pembeni! Washkaji wakaondoka zao.
Mitifuano ya kisheria ikaanza baina yangu na Police, kosa langu ilikuwa overspeed, wakati kuna wenzangu wao hilo haliwahusu kabisa.
Mkuu wa kituo waliponirudisha (ilibidi nipelekwe) akaniambia wenzio wana Immunity, sio kila kitu cha kuiga.
Nimelipa fine japo kwa tabu sana.
Nauliza hizi Immunity zinawaweka wengine juu ya sheria? Why
bas ni seme gar zenye p no za kigeni nyingi hawazingatii sheria na hawachukuliwi hatu tofauti na zile za ndani..napo hujaelewa?Kwani haziruhusiwi?
Mbona sisi tunaendesha na plate namba za Tz huko Malawi, Kenya n.k?
Hapa nazungumzia sheria kuvunjwa
Exactly VCDR (1961)Kajishughulishe kusoma Vienna convention on diplomatic relations ya 1961 utajua vizuri. Kila kitu kipo wazi ukiipitia
Wanapigwa fine fresh tu tena hizo ni zile za kulipa hapo hapo.bas ni seme gar zenye p no za kigeni nyingi hawazingatii sheria na hawachukuliwi hatu tofauti na zile za ndani..napo hujaelewa?
Ujuaji ni wapi hapo tena mkuuPunguza ujuaji, , Balozi ana hadi sawa na rais wa nchi yake anayowakalisha kwenye nchi iliyopo
Ujuaji wa kufuata msafara wa mamba 'balozi' wakati wewe ni kenge!Ujuaji ni wapi hapo tena mkuu