KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 828
- 1,506
- Thread starter
- #121
Oh nimeelewaGari zenye usajili wa Namba za kutoka nje ya nchi hazina immunity ya kuvunja Sheria za Usalama Barabarani, wanaweza kutozwa faini endapo kama watavunja Sheria hizo. Unless gari hizo ziwe za Wanadiplomasia ambao wapo kikazi katika Nchi ya ugenini, na gari husika ziwe na usajili maalumu Kama gari za taasisi za kimataifa.