uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Kama sio mzoefu wa hii mambo don't try itHii kukaa takoni,Mtu akifunga brake ghafla au akiovertake unaweza pata ajali mbaya
Kama sio mzoefu wa hii mambo don't try itHii kukaa takoni,Mtu akifunga brake ghafla au akiovertake unaweza pata ajali mbaya
Mpaka wese?😹😹😹 Alitaka kukukomesha sasa hayo yote ya nini jamani..!!
Kweli kuna wengine wako vizuri mimi nishakutana na watu wa hivyo sana.
Tatizo gender yangu wanaanza approach za kifala but sometimes mpk wese wananipea 🤣
Sina aisee..!!Mpaka wese?
Halafu nilikuahidi road trip.
Unanafasi next week tuende Simiyu?
Nimeipenda mkuu..Gari yenye namba za kibalozi ni kama office zao. Hata airport ukiwa na diplomatic passport unapita free tu. Tupo sawa ila siyo sawasawa.
Niliona siku moja nipo kwa basi naenda dodoma,kenge mbili bmw salon na crown vimeng’ata tako la V8,nikasema huu sio uendeshajiKama sio mzoefu wa hii mambo don't try it
Ujue kuna sababu!Niliona siku moja nipo kwa basi naenda dodoma,kenge mbili bmw salon na crown vimeng’ata tako la V8,nikasema huu sio uendeshaji
Nitakucheki.Sina aisee..!!
Halafu nilitamani hiyo njia niliishia Dom tu..!!
Asante sana mkuuMuulize huyu kwenye hii link Ahmed Assas ana hati ya kusafiri ya kidiplomasia kwa hadhi ipi aliyo nayo? Nchi imeoza hii
Sawa bossiWewe ni mjinga sana, tii sheria za barabarani kwa usalama wako na chombo chako cha usafiri na watumiaji wengine wa barabara.
Sheria za barabarani ni kwa faida yako mjinga mkubwa wewe
Umaskini ni mbaya sana!Wewe ni mjinga sana, tii sheria za barabarani kwa usalama wako na chombo chako cha usafiri na watumiaji wengine wa barabara.
Sheria za barabarani ni kwa faida yako mjinga mkubwa wewe
Ukweli lazima usemweUmaskini ni mbaya sana!
Punguza hasira
Kuna mawili, either walikureport “kuna unknown car nyuma yetu inatufatilia” ama traffic mliowapita wamekuchoma kwa wenzao kuna kigari kimeunga em kikamateni. Walikufanyia roho mbaya tuNamaanisha sheria za Barabarani,
Leo walitaka kunilaza ndani.
Nimefuata gari zenye namba za kibalozi! Ilikuwa rahisi hadi niliposimamishwa na Polisi muda mchache baada yakuvuka Mkata.
Barabara ya Dar - Moshi.
Hawa jamaa wako na gari mbili LC 300 wamenikuta Msata kuna kimgahawa pale nimewaacha ila baada ya kama dakika 10, wakanipita kabla yakufika Mandera.
Nikaona ni kampani nzuri nikaunga nyuma yao, hawajali 50 kabisa.
Niliweza mwendo wao kwasababu Speed yao ilikuwa moderate sana 120kph-150kph .
Wao mbele mimi nyuma, hakuna Traffic anayewapiga mkono, vuka Kimange, vuka Mbwewe!
Tumevuka Mkata, mbele kabisa, naona Police amesogea road kabisa akawataka wale jamaa wapunguze mwendo, Kumbe lengo lilikuwa ni mimi, jamaa walivyopunguza mwendo traffic akafanikiwa akanisogeza pembeni! Washkaji wakaondoka zao.
Mitifuano ya kisheria ikaanza baina yangu na Police, kosa langu ilikuwa overspeed, wakati kuna wenzangu wao hilo haliwahusu kabisa.
Mkuu wa kituo waliponirudisha (ilibidi nipelekwe) akaniambia wenzio wana Immunity, sio kila kitu cha kuiga.
Nimelipa fine japo kwa tabu sana.
Nauliza hizi Immunity zinawaweka wengine juu ya sheria? Why
Namaanisha sheria za Barabarani,

Wawekwe wazi kuwa wako exempted kwenye sheria za Barabarani
Gari zenye usajili wa Namba za kutoka nje ya nchi hazina immunity ya kuvunja Sheria za Usalama Barabarani, wanaweza kutozwa faini endapo kama watavunja Sheria hizo. Unless gari hizo ziwe za Wanadiplomasia ambao wapo kikazi katika Nchi ya ugenini, na gari husika ziwe na usajili maalumu Kama gari za taasisi za kimataifa.bas ni seme gar zenye p no za kigeni nyingi hawazingatii sheria na hawachukuliwi hatu tofauti na zile za ndani..napo hujaelewa?
Sawa, watumishi wa umma mfano, Mwalimu,Daktari,Polis n.k nani anaruhusiwa kumiliki gari yenye plate no za nje ya nchi mfano Congo,Kenya,Uganda,Zambia na Malawi?Gari zenye usajili wa Namba za kutoka nje ya nchi hazina immunity ya kuvunja Sheria za Usalama Barabarani, wanaweza kutozwa faini endapo kama watavunja Sheria hizo. Unless gari hizo ziwe za Wanadiplomasia ambao wapo kikazi katika Nchi ya ugenini, na gari husika ziwe na usajiki maalumu Kama gari za taasisi za kimataifa.
Wanaruhusiwa ndiyo, lakini katika Mazingira fulani fulani maalumu tu na kwa sababu au kwa wakati maalumu tu.Sawa, watumishi wa umma mfano, Mwalimu,Daktari,Polis n.k nani anaruhusiwa kumiliki gari yenye plate no za nje ya nchi mfano Congo,Kenya,Uganda,Zambia na Malawi?