carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Kwani dunia iko wapi kwa sasa mkuu??Obama ndiye rais wa hovyo kabisa kuwahi kutawala USA. Sera zake za kuwa appease magaidi ndizo zilizoifikisha dunia hapa ilipo
Bora hata Trump amemtandika Iran huyo Obama ndio alikuwa anawagawia mabilioni Kila mwezi, ndio wameenda kutengeneza mitambo ya nuclear. Akae kimya huyo tapeli.Hili hata mtoto mdogo anajua yule Trump ni kavu sana anaanzisha vita ili mafuta wapate USA peke yao tena kwa bila kutoa hela harafu Nchi zingine wanapata kwa gharama kubwa kavu sana yule mzala sasa hivi kakimbilia Russia na katoa baadhi ya vikwazo ili apate mafuta ya bure..
Waafrika hatutakiwi kushabikia vita tupo nyuma sana na maendeleo..Bora hata Trump amemtandika Iran huyo Obama ndio alikuwa anawagawia mabilioni Kila mwezi, ndio wameenda kutengeneza mitambo ya nuclear. Akae kimya huyo tapeli.
Huo Ushoga ulikuwepo kabla ya Obama, acha kuongea uongo.Obama yeye mwenyewe ni wa ovyo tu yeye si ndo aloanza kampeni za ugasho na kusababisha jamii kuharibika mpaka leo
Hivyo vyama ni sawa na kimoja 😃😃undanganywa USA ina mfumo mmoja ,hivyo vyama viwili ili vyote vinamsujudia mtu mmoja ..Hakuna chama kinashirikiana na watu wa nje kama communist..Huyo Obama ,ndiye alimuua Gaddafi..Hiyo ndiyo faida na uzuri wa demokrasia ingekuwa Tanzania ndio unamkosoa rais hivyo ungepotezwa na wasiojulikana mara moja au kufunguliwa kesi feki ya uhaini.
Obama ndiye rais wa hovyo kabisa kuwahi kutawala USA. Sera zake za kuwa appease magaidi ndizo zilizoifikisha dunia
Obama kapromote ushogaObama kauwa Gadafi
kauwa Osama
Bado unamuona dhaifu kama wale Mazungu yenu !!!!!!!!!!!
Yani wewe tena usitetee ugashoHuo Ushoga ulikuwepo kabla ya Obama, acha kuongea uongo.
Yeye kaamua kuweka ukweli na kuukana unafiki.
Unataka kusema sera za Obama ndiyo zimesababisha uwe gosha?Obama yeye mwenyewe ni wa ovyo tu yeye si ndo aloanza kampeni za ugasho na kusababisha jamii kuharibika mpaka leo