Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
Gasho jingine hili subiri nikimbie huu uzi mna ushaanza kunuka maviUnataka kusema sera za Obama ndiyo zimesababisha uwe gosha?
Gasho jingine hili subiri nikimbie huu uzi mna ushaanza kunuka maviUnataka kusema sera za Obama ndiyo zimesababisha uwe gosha?
Ushoga unaanzia kwenye akili yako. Dini yako inaweza kuwa kichocheo. Kimbia harakaGasho jingine hili subiri nikimbie huu uzi mna ushaanza kunuka mavi
Huyu Obama.kwenye utawala wake si ndio alimuua OsamaObama ndiye rais wa hovyo kabisa kuwahi kutawala USA. Sera zake za kuwa appease magaidi ndizo zilizoifikisha dunia hapa ilipo
Ni kweli lakini kwenye utawala wake ndiye aliruhusu sana mambo ya LGQBT hadi akaruhusu mashoga waingie jeshini. Japokuwa baadae wamepigwa marufuku. Sera za Obama zilikuwa laini sana kwa nchi za kigaidiHuyu Obama.kwenye utawala wake si ndio alimuua Osama
Vita ni sehemu kubwa sana ya maendeleo, Maisha yenyewe tu ni vita, hata huyo Messi na Gaucho, si meona vita walivyopigana uwanjani? mwenzao Delima alipoteza mguu kabisa. Ukiwa na vita ndogo ujue huna uwezalo. Omba vita mkuu, pigana vita, vishinde vita. You will emerge to be a champion.Waafrika hatutakiwi kushabikia vita tupo nyuma sana na maendeleo..
Wewe jihadist hakuna unachofahamu kuhusu hivyo vyama, hivyo vyama viwili vikuu vina sera na itikadi tofauti kabisa na sina muda wa kukufundisha hapa ila tafuta mwenyewe usome japo shida ya watanzania hampendi kusoma na ndio maana hata wewe una dhana hiyo.Hivyo vyama ni sawa na kimoja 😃😃undanganywa USA ina mfumo mmoja ,hivyo vyama viwili ili vyote vinamsujudia mtu mmoja ..Hakuna chama kinashirikiana na watu wa nje kama communist..Huyo Obama ,ndiye alimuua Gaddafi..
Hao wote wanafiki ,USA ina chama kimoja haina ukosoaji ,hapo hakuna ukosoaji ila wanawapumbaza wajinga..USA ukienda kinyume hata kama ni Rais unauliwa ,ilikuwa kwa Kennedy .
Jiulize ,walisema Trump alianzisha vita bila ya congress's approval, mbona hakuna hatua hata haipiti mieizu atashambulia tena 😃😃na baada ya kuhojiwa alishambulia ,tena na tena mbona hakuna hatua?
Mnadanganywa nyie wanuka midomo ,USA hakuna demokrasia ,Wana mfumo wa sera Moja na chama kimoja chenye matawi ..Wote wanamsujudia kiumbe kimoja.
Naona unajamba jamba , ukisikia neno jihadist basi mavi yanalenga chupi ..Mjinga tu anadanywa , hivyo vyama vina mlengo mmoja..Eti Gaddaf kauliwa na wananchi wake , wale NATO walivyokuwa wanalipua ni bibi zako wale?Wewe jihadist hakuna unachofahamu kuhusu hivyo vyama, hivyo vyama viwili vikuu vina sera na itikadi tofauti kabisa na sina muda wa kukufundisha hapa ila tafuta mwenyewe usome japo shida ya watanzania hampendi kusoma na ndio maana hata wewe una dhana hiyo.
Pili, elewa kwamba dikteta Gadaffi aliuawa na wananchi wa Libya waliokuwa wamechoka na utawala wake wa kiimla wa miaka 42.
Marekani ndio nchi ya kwanza duniani yenye utawala wa kidemokrasia na wala hilo halina ubishi na hata katiba yao inaonyesha wazi kabisa.
Wewe kama jihadist kama unaona kwamba China, Iran, Korea Kaskazini au Russia ndio mataifa ya kidemokrasia basi nahisi utakuwa Mirembe Hospital kwa muda mrefu sasa na wala ukiandika rejoinder hapa wala sitahangaika kujibu ila nitapotezea tu.
Upinzani gani kweli wa ndani unaouongelea, unataka wapigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio ujue wana upinzani wa kweli wa ndani...!!!!Naona unajamba jamba , ukisikia neno jihadist basi mavi yanalenga chupi ..Mjinga tu anadanywa , hivyo vyama vina mlengo mmoja..Eti Gaddaf kauliwa na wananchi wake , wale NATO walivyokuwa wanalipua ni bibi zako wale?
USA haina utawala wa kidemokrasia , kwa sababu haina upinzani wa kweli wa ndani ..USA wako pale kwa kumlinda shetani tu , halafu neno demekrasia katika utekelezaji halipo ..Demokrasia ambayo USA wanaongoza kuuwa watu duniani , wameshababisha machafu ..Ebu jiulize , uko America nchi za Asia au Africa zinakuhusu nn ?
Kama wewe ni kijana wa paulo basi USA ndo shetani yaani mapepo, USA lazima ibadilishwe kutokea ndani ili dunia iwe salama .Cartles zote za AMERICA huku Mexico , Haiti wanapata asilimia 80% ya silaha kutoka USA , the rest 20% zinatoka Israel ...Demokrasia , nchi ambao mwanamke analipwa pesa pungua dhidi ya mwanaume hata wawe cheo kimoja , demokrasia ipi unaingolea ?
😅😅USA umeijua juzi tu hapa 😅😅USA ilikuwa na upinzania kabla ya vita yao ila Sasa hakuna ,kwa sababu kubwa mtu akiwa kinyume nao wanahofia taifa la kupinduka.Upinzani gani kweli wa ndani unaouongelea, unataka wapigane vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio ujue wana upinzani wa kweli wa ndani...!!!!
Marekani wana demokrasia ya kweli uoni hata uchaguzi wao ndio tukio la pili kuangaliwa na watu wengi duniani baada ya kombe la dunia la soka.
Wiki ijayo tu wanaenda kwenye uchaguzi wa katikati ya muhula na macho yote ya dunia yako huko.
Subiri kama utaona wagombea fulani wa chama cha upinzani wameenguliwa kwa "kutokujua kusoma na kuandika..!!!" Wala kama utasikia wapinzani kutekwa wala mawakala wa vyama vya upinzani kufukuzwa kwenye vituo vya kupigia kura, wala vyombo vya dola kutumiwa ili kuiba kura ili chama tawala kishinde.
Surely, the United States is a model for the all world to see and only the religious bigots with myopic mind will argue this flagrant fact.