Baraka da prince amtukana Msami

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Baada ya baraka da prince kutupitia picha mpenzi wake kwenye instagram msanii mwenzake Msami alicomment kwa kumtania lakini baraka alipandwa na harisa na kumtukana mwenzake
 
Mie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort
 
Mi nimeangalia Clouds Tv jana (ijumaa) kipindi cha weekend chart show (shilawadu) kuna ndugu yake katoa ya moyoni! Kamnanga sana jamaa kuwa ana roho mbaya, mchoyo, hana brain
Yule dogo inaelekea ana hasira sana na ndugu yake, Yaani anamchana jamaa pamoja na demu wake mpaka wazee wa SHILAWADU wenyewe wamepata mshtukao, ile shoo inaendelea wiki ijayo sijui itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…