Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Kama avatar yako[emoji276]chalii mweusi mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama avatar yako[emoji276]chalii mweusi mno
Labda aachane na Naj ndo atakaa kimya.Kujibu kila kitu kutakufanya kujua ni mtu wa aina gani ila kukaa kimya kutaleta busara kubwa sana kwako.
Da prince badilika niggah wangu
Atakuwa kaja na mbio zamwengedogo mshamba kaja lini mjini?
Kama avatar yako[emoji276]
Mmepishana kidogo tu kuja.dogo mshamba kaja lini mjini?
[emoji23] [emoji23] asanteoyoeshefekenyaeda
[emoji23] [emoji23]Kila nikipita mitandaon nakutana na
Baraka kamtukana LINEX
Baraka kamtukana BLUE
Baraka kamtukana Stani bakora
Baraka kamtukana msami
Si mkachape Fimbo? Kila siku kanatukana mnakaangalia tuuuuu why?
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Atakuwa kaja na mbio zamwenge
baraka the prince!Nani sasa besti
Sidhani kama hii inaweza kuwa suluhisho sanaLabda aachane na Naj ndo atakaa kimya.
Ha ha utoto unamsumbua. Anajiona kawa bonge la celebrity . Kunawatu buana walikuwepo enzi hizo . Nani alikuwa anajua feloz, afande sele na wengine kuwa watakuja fulia kiasi kile. Hii dunia mtu wa kwanza kukufuta machozi pale unapokuwa na shida ni ndugu yako wa karibu. Anachokifanya anakosea sana na anahitaji ushauri wa hali ya juuYule dogo inaelekea ana hasira sana na ndugu yake, Yaani anamchana jamaa pamoja na demu wake mpaka wazee wa SHILAWADU wenyewe wamepata mshtukao, ile shoo inaendelea wiki ijayo sijui itakuaje
Eti inasemekena eti Naj ndo anampa kiburi....Sidhani kama hii inaweza kuwa suluhisho sana
Kikubwa dogo aweze kujitambua tu yeye ni nani na yupo kwa ajili ya nani
Hivi hua anaimbaga nn mana simuelewag hata anaimbaga nini alafu hii tabia ya kuonesha mpenz wako mitandaoni ili iweje au tujue ana dem mkali ...mxieeeew!!!! Rubish in rubish pit.baraka the prince!
Dogo mwenyew mweusi kama tarmac roadHuyu dogo nimeanza kumchukia serious...
[emoji5] [emoji5] [emoji3] [emoji3] [emoji5] [emoji5] [emoji125] [emoji125]Eti inasemekena eti Naj ndo anampa kiburi....
Inasemekana lakini[emoji124]
mpuuzi yule!Hivi hua anaimbaga nn mana simuelewag hata anaimbaga nini alafu hii tabia ya kuonesha mpenz wako mitandaoni ili iweje au tujue ana dem mkali ...mxieeeew!!!! Rubish in rubish pit.
inasemekana lakini,etiiiiiiiiiiiiiiiiiiii