Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Naskia ni msukuma huyu dogo?Lishamba hili dogo linalopokaga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naskia ni msukuma huyu dogo?Lishamba hili dogo linalopokaga tu
Mjaluo huyoWasukuma katika ubora wao
Ni mjaluohili lisukuma linalofanana na wasira ni limaku kweli
Ni mjaluo jamani.Naskia ni msukuma huyu dogo?
Yule dogo mshamba kichiz na sjui katoka Mwanza ya wap hyu [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort
Tatizo naskia ana krismasi mbili tu mjini apa...Mie huwa nnamsupport Lakini nimekuja kugundua Kuwa baraka Hana akili hata Kidogo, anapanic, hauwezi ucelebrity,kila kitu anajibu,kila scandal atukana tena mtandaoni, ajiona ni mwanamuziki kweli, asipoangalia atapotea kimziki Mapema Sana,, mtu gani asiyejua utani?? Mpaka nikahisi huenda ana tatizo maana siyo kwa kujibizana kishamba Huku,anaboa inshort
Sishangai ka n mjaluo maana wale watu ni shdaaahNi mjaluo
HahaSishangai ka n mjaluo maana wale watu ni shdaaah
Huo ni ushamba kama na wewe ni wa huko utakua mshamba piaukiangalia namna wasanii wanavyo chukulia ni poa sana sasa sio kila mtu anapenda kutaniwa watu wanaotokea mikoa ya mara sio wakutaniwa kila jambo uchukulia serious
Naendelea kusisitiza ni mjaluokwa kua ni msukuma wala sishangai,hovyo sana hilo toto
Nani sasa bestiSijawahi hata kumkubali hata kwa bahati mbaya!!
Sawa ila ni mshamba sana aisee,yawezekana makuzi yake yalikua mwanza/shinyanga/tabora au maeneo ya geita hukoNaendelea kusisitiza ni mjaluo
Ndio alikokulia huko,hujakoseaSawa ila ni mshamba sana aisee,yawezekana makuzi yake yalikua mwanza/shinyanga/tabora au maeneo ya geita huko
pole pole mkuuhili lisukuma linalofanana na wasira ni limaku kweli