Baraka da prince amtukana Msami

Simpendagi huyu mtoto na mashauzi yake yakise........
Kama aliweza kumtolea Shit Kidway to the D,aliyemtoa ushamba na kumuingiza kwenye ulimwengu wa sanaa,basi hawezi kumuheshimu mtu yeyote,bado anau-Jaluo mwingi sana..

Uimbaji wake wenyewe kila siku Tune ni ileile,habadiliki,nyimbo mpya imebuma anatafuta wa kumfia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Hivi hua anaimbaga nn mana simuelewag hata anaimbaga nini alafu hii tabia ya kuonesha mpenz wako mitandaoni ili iweje au tujue ana dem mkali ...mxieeeew!!!! Rubish in rubish pit.
Hapo wamekutana mjini tu na huyo dem ni hivyo, je ingekuwa yeye ndio ameshangilia msimbazi kwa huyo dem sijui ingekuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…