Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
uwezi kukaa na bush man ukawa na akili nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]kingi kibakuli fever umeanza kusambaa kwa kasi...kiba kamwambukiza baraka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] seven itabid afungue tution ya kuongeabaraka ana pepo
hawa vijana wa seven siwaelewi
Utani dhambi je ku kwichikwichi na le bebez wake sio dhambi kabka ya kuoana.....hapa bika bila tu huyu baraka akili zaje za kitoto kweliBaraka kakulia kwenye familia yenye maadili ya kidini(adventist) ambapo inaaminika kuwa utani ni dhambi,kwa hiyo nahisi katika ukuaji wake utani haikuwa sehemu ya maisha ndo maana kitu kdg tu ana react,af pia ishu ya kujihami kutokana na kuwa mweusi kupindukia
Sawa basi njia aliyochagua sio sahihiBaraka kakulia kwenye familia yenye maadili ya kidini(adventist) ambapo inaaminika kuwa utani ni dhambi,kwa hiyo nahisi katika ukuaji wake utani haikuwa sehemu ya maisha ndo maana kitu kdg tu ana react,af pia ishu ya kujihami kutokana na kuwa mweusi kupindukia
Ulitegemea akili zake ziweje kama kaka yake kibakuli nae ndo walewale team seven wakurupukajikati ya udhaifu wa Baraka da prince ni kushindwa kujicontrol hasa hasira zake..maana sehemu za kukaa kimya anaongea..
Ulitegemea akili zake ziweje kama kaka yake kibakuli nae ndo walewale team seven wakurupukaji
kati ya udhaifu wa Baraka da prince ni kushindwa kujicontrol hasa hasira zake..maana sehemu za kukaa kimya anaongea..
Kumbe huyu dogo hana akili ,yaani hiyo ishu nayo ya kumind![]()
![]()
Jamaa ana hasira za kipumbavu sana...huyu jamaa ni mshamba sijawahi kushuhudia