Baraka da Prince amtukana Ney wa mitego

Baraka da Prince amtukana Ney wa mitego

Baraka kakulia kwenye familia yenye maadili ya kidini(adventist) ambapo inaaminika kuwa utani ni dhambi,kwa hiyo nahisi katika ukuaji wake utani haikuwa sehemu ya maisha ndo maana kitu kdg tu ana react,af pia ishu ya kujihami kutokana na kuwa mweusi kupindukia
 
KWANZA HAJUI HATA KUIMBA! MWEUSI KM MIE TU
!....ajifunze KUNYAMAZA KUTAMSAIDIA SANA
 
Kama mtoto wa kike anajibu Kila sauti, utajibu ngapi wewe cheusi mangala?
 
Baraka kakulia kwenye familia yenye maadili ya kidini(adventist) ambapo inaaminika kuwa utani ni dhambi,kwa hiyo nahisi katika ukuaji wake utani haikuwa sehemu ya maisha ndo maana kitu kdg tu ana react,af pia ishu ya kujihami kutokana na kuwa mweusi kupindukia
Utani dhambi je ku kwichikwichi na le bebez wake sio dhambi kabka ya kuoana.....hapa bika bila tu huyu baraka akili zaje za kitoto kweli
 
Baraka akili zake hazina akili kwa hali hii....waingie darasa la kujibu interview na wakati gani wa kureact au kukaa kimya
 
Khaaa huyu dogo anazingua kila kitu ni kujibu tu..... Nway meneja wake kazi anayo
 
Baraka kakulia kwenye familia yenye maadili ya kidini(adventist) ambapo inaaminika kuwa utani ni dhambi,kwa hiyo nahisi katika ukuaji wake utani haikuwa sehemu ya maisha ndo maana kitu kdg tu ana react,af pia ishu ya kujihami kutokana na kuwa mweusi kupindukia
Sawa basi njia aliyochagua sio sahihi
 
kati ya udhaifu wa Baraka da prince ni kushindwa kujicontrol hasa hasira zake..maana sehemu za kukaa kimya anaongea..
6cfd5841147c64c4a1905c4d0d018935.jpg
5b677eb7bbf14520c73f54d84f9ac8bb.jpg

Jamaa ana hasira za kipumbavu sana...huyu jamaa ni mshamba sijawahi kushuhudia
 
..inabidi kuwe na semina elekezi kwa wasanii,wafundishwe jinsi ya kuongea maana huyu the prince ni ziro
 
mbana pua nae atasema ney anatafuta kiki,mwenzio ana hit kali za hip hop ingawa mipasho anawakilisha,kinachoangaliwa pale ni kunata na beat na kucheza mulemule wanamosema,kiukweli m bongo nilikua namkubali chid alivyopotea Nay kacukua kijiti.hawa ndio wasanii wa hip hop unaweza kuwasikiliza ukaenjoy beat kali na manjonjo wengine hadthi nyiiingi politiki jukwaani
 
Back
Top Bottom