Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Huyu Baraka Kweli ni Msukuma, yaani jinsi anavyomringiaga huyo Mke kisa tu ni mweupe...anamshika kama yai.

Yaani nimeamini Wasukuma na Mabinti weupe ni dam dam.
 
Nasikia Wasukuma kwa watoto weupe wanaweza kukuachia hata zizi zima la ng'ombe; so what about kwa shombeshombe!!! Usije kuta hata ya hati ya nyumba ikawa na jina Najma pembeni! Au washafunga ndoa?
Kabisa
 
Hongera sana dogo,ukifika umri wangu kama utaendelea kukaza buti utakuwa nazo kama 10 hizo.
 
Naona una ashki majinuni bin Tigo, we njoo tu mombasa kwa nyuma
Kama wewe umezoea kwenda mombasa hivyo unafikiri ni kila mtu? Sisi tunaenda kwa mbelembele tukiwa tumetunisha msuli wa chini.
 
Kama wewe umezoea kwenda mombasa hivyo unafikiri ni kila mtu? Sisi tunaenda kwa mbelembele tukiwa tumetunisha msuli wa chini.
Basi tambua kuwa misuli haivaliwi mana nirahisi kupigwa msasa hasa ukitembea mbele kwa mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo ilihali uhondo umeuacha nyuma
 
Back
Top Bottom