Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 941
Wanaume wa dar wanajielewa kwan[emoji6]Ase, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume wa dar wanajielewa kwan[emoji6]Ase, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopa
Umedandia treni kwa mbele mzee.Mtakufa mkiwa mmesimama dede yani Karne hi ya 21 bado unaogopa kujenga nyumba na mkeo unataka ujenge nyumba ukiwa na hawara/mchepuko?
haterMbona imekaa kama inataka kuanguka au kajenga kwenye mawe kwao nyamagana
Sio msukumaHongera msukuma
Ww una tabia za kike...sio za kiume.Mtakufa mkiwa mmesimama dede yani Karne hi ya 21 bado unaogopa kujenga nyumba na mkeo unataka ujenge nyumba ukiwa na hawara/mchepuko?
KabisaNasikia Wasukuma kwa watoto weupe wanaweza kukuachia hata zizi zima la ng'ombe; so what about kwa shombeshombe!!! Usije kuta hata ya hati ya nyumba ikawa na jina Najma pembeni! Au washafunga ndoa?
Naona una ashki majinuni bin Tigo, we njoo tu mombasa kwa nyumaWw una tabia za kike...sio za kiume.
Wewe uliyelala kwenye reli,ulitaka kila ndoa inayofungwa ualikwe/uambiwe?Umedandia treni kwa mbele mzee.
Hao wameoana lini?
Kwani ndugu haya yametokea wapi?Wewe uliyelala kwenye reli,ulitaka kila ndoa inayofungwa ualikwe/uambiwe?
JFKwani ndugu haya yametokea wapi?
Iko Tegeta kasema!Mbona imekaa kama inataka kuanguka au kajenga kwenye mawe kwao nyamagana
Basi uwe unasoma vizuri komenti za watu....maaana mimi sikusema kuogopa kujenga na mke.
Kama wewe umezoea kwenda mombasa hivyo unafikiri ni kila mtu? Sisi tunaenda kwa mbelembele tukiwa tumetunisha msuli wa chini.Naona una ashki majinuni bin Tigo, we njoo tu mombasa kwa nyuma
Basi tambua kuwa misuli haivaliwi mana nirahisi kupigwa msasa hasa ukitembea mbele kwa mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo ilihali uhondo umeuacha nyumaKama wewe umezoea kwenda mombasa hivyo unafikiri ni kila mtu? Sisi tunaenda kwa mbelembele tukiwa tumetunisha msuli wa chini.
Utakuwa una makengeza labda ndomana unakana ulichoandikaBasi uwe unasoma vizuri komenti za watu....maaana mimi sikusema kuogopa kujenga na mke.
Wapi nimeandika mkuu...soma vizuriUtakuwa una makengeza labda ndomana unakana ulichoandika